Saturday, March 23, 2013

Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya LwakatareMkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu amesema video iliyowekwa mitandaoni imetengenezwa na Mwigulu akishirikiana na Joseph Ludovick. Lissu amesema endapo kesi hiyo itafika Mahakamani hawatamaliza hada masaa matatu (3) watakuwa wameshinda.

No comments: