Monday, March 11, 2013

Vilio na simanzi vimetawala kwa wafanyabiashara zaidi ya 600 wa matunda na mbogamboga katika soko la Sabasaba mjini Dodoma Kufuatia zoezi la bomoabomoa lililofanywa usiku wa manane na halmashauri ya manispaa ya Dodoma kwa madai kuwa wamevamia eneo Hilo kinyume na sheria huku mali zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 500 zikiteketea

No comments: