Saturday, April 27, 2013

Tanzania´s National Day Party (Muungano) at Slurpen Festlokale, Friday 26th April 2013

Mwenyekiti wa Chama cha Watanzania Oslo, Dr. Titus Sendeu Tenga akitoa hotuba. 


Rais wa TASAO (Tanzanian Students Ossociation Oslo), Ndg. Hatibu Mgeja akitoa hotuba. 


Dada Aisha S. akiwaimbisha watu wimbo wa taifa. 

Mheshimiwa Balozi Muhammed Mzale, balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Norway, Finland, Sweden, Denmark, Iceland  na Faeroe) na za Baltic  (Estonia, Latvia na Lithuenia) akifungua ukumbi Msanii wa BongoFlava; Chege akifanya vitu vyake 
Henry Joseph (Mwanasoka wa kulipwa Mtanzania anayechezea timu ya Kongsvinger), Dr. Titus Tenga na Balozi Mzale


DJ. Humphrey 


Chege No comments: