Sunday, May 05, 2013

Kukosekana kwa ajira hakumlemazi kiuchumi Ayub Simba


Tafakari haya, unaishi katika mtaa wa mabanda, una mke na watoto wawili, na huna ajira. Watoto hawa wanahitaji mavazi na lishe ya kila siku. Ndiyo maisha ambayo Ayub Simba mkazi wa Kariobagi humu jijini Nairobi anakumbana nayo kila uchao. Simba anajitahidi kadri ya uwezo wake kuhakikisha kuwa anakidhi mahitaji ya familia yake.


No comments: