Saturday, August 10, 2013

Two British teens active in Jewish group attacked with acid in ZanzibarMoja ya magazeti makubwa nchini Israel, Jerusalem Post, limeandika kuwa mabinti wawili wa Kiingereza walioshambuliwa kwa tindikali huko ZANZIBAR walikuwa wanaharakati na wanachama wa Shirikisho la Vijana wa Kiyunani (Federation of Zionist Youth). Kwa namna flani, ukaribu wao na harakati hizo za Kizayuni unaweza kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea mabinti hao, Kirstie Trup na Katie Gee, kushambuliwa. Hisia iliyopo ni waliofanya shambulio hilo walisukumwa zaidi na 'kuwaadhibu Wayunani na marafiki zao,' kama ambavyo imekuwa ikitokea sehemu mbalimbali duniani. Inafahamika kuwa vikundi vyenye msimamo mkali wa Kiislam kama vile Al-Qaeda vimekuwa na uhasama mkubwa na Wayahudi...


No comments: