Wednesday, April 30, 2014

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba ameongea na ITV kupitia kipindi cha DAKIKA 45 na kutoa ufafanuzi muhimu kuhusu mambo muhimu juu ya uundwaji wa katiba mpya. Hii ni sehemu ya kwanza. Ilikuwa juzi.
No comments: