Thursday, May 01, 2014

Tangazo toka ubalozi wa Tanzania Stockholm - Watanzania wenye maswali na dukuduku juu ya pasipoti zao n.k. waje nazo Jumamosi 3.Mei kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano, Norberg Kirke,Kringsjågrenda1, Oslo. Ubalozi utajibu maswali na dukuduku siku hiyo.
No comments: