Friday, April 25, 2014

Hivi kwa nini Wabunge wengine kwenye Bunge Maalumu la Katiba wanazungumza vitu ambavyo ni vya kusadikika? Msikilize aliyekuwa waziri wa mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais; Dr.Terezya Huvisa "Wazanzibari wakijitenga 'watakuwa wakimbizi"
No comments: