Tuesday, December 30, 2014

Prof. Tibaijuka aponzwa na urais 2015 - MwanaHALISI Online
SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Anne Makinda, hakumnyima nafasi ya kujieleza bungeni, Prof. Anna Tibaijuka, kwa bahati mbaya. Alikusudia ili kumuangamiza kisiasa. Sarafina Lidwino anaripoti. Anne Makinda, Spika wa Bunge, hawezi kukwepa tuhuma na shutuma kuwa alipanga kumuangamiza kisiasa, Prof. Anna Tibaijuka, ili kupunguza ushindani katika mradi wake wa kusaka urais mwaka kesho.

No comments: