Sunday, January 11, 2015


TANGAZO MAALUMU


BALOZI DORA MSECHU KUKUTANA NA WATANZANIA NA WENYE ASILI YA TANZANIA WAISHIO NORWAY


Mahali: P-Hotels, Grensen 19, 0159 Oslo.

Siku: Jumamosi

Tarehe: 17.Januari 2015

Saa: 12:00-14:00 CET (6 hadi 8 za mchana za Ulaya ya Kati)

Tanbihi: kuwahi kwako (kwenu) ni muhimu ili kufanikisha hiyo siku.


No comments: