Sunday, January 11, 2015


ZOEZI MAALUMU LA KUPOKEA MAOMBI YA PASIPOTI MPYA KWA WATANZANIA WAISHIO NORWAY WENYE PASIPOTI ZINAZOISHA MUDA WAKE MWAKA 2015, LIMEAHIRISHWA HADI TAREHE 7-8.FEBRUARI 2015 

KWA MAELEZO KAMILI SOMA HAPO CHINI
Chama Cha Watanzania Oslo
C/O Wilhelm Færdensvei 2B
0361 Oslo.

Baruapepe: watanzaniaoslo@gmail.com

Blogu: http://watanzaniaoslo.blogspot.com


No comments: