Wednesday, June 27, 2007

Viji Mambo vimeanza baada ya Amina Chifupa kututoka duniani!!!


Eti kilichomwuua si malaria wala kisukari. Eti kifo chake kilitarajiwa baada ya pale aliposema kuwa atalipua bomu la wafanyabiashara ya bwimbwi na midaharati!!!! Jamani duniani hakuna dogo ....Gongola picha kuikuza. Kutoka gazeti la Sani siku nyingi kabla ya mauti kumkuta Amina Chifupa. Hata magazeti yameanza na udaku wao!!!


na
Tausi Usi Ame Makame,
Oslo, Norway.
tausi@online.no

No comments: