Saturday, October 13, 2007


KATIKA kusherehekea siku kuu ya Id el Fitri, Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa mbuzi kwa ajili ya kitoweo, mchele na mafuta ya kupikia kwa vituo 11 vya kulea yatima, vikiwemo vya Unguja na Pemba. Pichani, Mnikulu, Anthony Itatiro akikabidhi mbuzi kwa watoto, Hussein Amir (kushoto) na Hassan Amir wa kituo cha Chakuwama, Ikulu, mjini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni mlezi wa watoto hao, Radhina Bakar.
(
Na Mpigapicha wa gazeti la Uhuru).


No comments: