Sunday, June 15, 2008

Ali Kiba aingia

mjini Oslo


WADAU WA TØNSBERG NA OSLO WAKAE MKAO WA KULA KWA MAKAMUZI YA IJUMAA 20.6.2008 TØNSBERG NA JUMAMOSI 21.6.2008 OSLO PICHANI WA KWANZA KUSHOTO NI KASSIM, ALI KIBA, HASSAN NGANZO NA DOGO JAN JUNIOR WAKIWA UWANJA WA NDEGE GARDEMOEN OSLO.

KASSIM NA ALI KIBA

No comments: