Thursday, June 12, 2008

Ballali aacha mikanda

ya video


Ni katika asasi nyeti Marekani


TAKRIBAN mwezi mmoja tangu aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dk. Daudi Ballali (65) afariki dunia, kile kinachoitwa wosia ama ushahidi aliouacha kinazidi kuwatesa wengi na habari zinasema aliukabidhi pia katika taasisi nyeti za fedha duniani kama Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).


Bofya na endelea>>>>>


1 comment:

Anonymous said...

Na bado tutasikia mengi tu...Je, wahusika watachukuliwa hatua? Nope...si bado wapo wanadunda mitaani na wengine mpaka kujigamba..