Thursday, June 12, 2008

Miss Tanzania:

Hawa wafupi na

wanene wa nini?


Chesi Mpilipili

NILIPATA kupishana maneno kidogo na mama watoto wangu kuhusiana na masuala ya ulimbwende wakati wa hatua za mwanzo za maandalizi ya kinyang'anyiro cha 'Miss Face of Africa' mwaka 2001 mjini Dar es Salaam.

Tulikuwa tukiishi na mpwa wetu ambaye ndio kwanza alikuwa amemaliza kidato cha nne na bado hajapata muelekeo hivyo yalipotolewa matangazo ya kutakiwa mabinti kwa ajili ya michuano hiyo ya 'Face of Africa' hakukuwa na mjadala.


Bofya na endelea>>>>>

No comments: