Thursday, June 19, 2008

Kombe la dunia 2010

Brazil 0 = Argentina 0


Kwenye kinyang´anyiro cha kuwania nafasi nne kutoka Amerika Kusini, usiku wa kuamkia leo, Brazil imetoka sare na Argentina. Hii ni mechi ya tatu katika kipindi kifupi, Brazil inatoka uwanjani bila kufunga goli. Wabrazil wameanza kupagawa


No comments: