Tuesday, June 24, 2008

Kuna tetesi kwamba kuna mpango wa kumng’oa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta kutokana na kile kilichodaiwa kuwabana wahujumu uchumi wa taifa hili. Habari hizo kutoka katika chanzo chetu cha kuaminika zinasema mbinu zimeandaliwa za kung’oka Sitta baada ya kuanzishwa makundi ndani ya bunge ili yamchanganye.

Habari za uhakika zinasema waheshimiwa hao wamegawanyika kwani kuna wale ambao wanataka chombo hicho kifanye kazi yake kwa maslahi ya taifa na wapo wanaotaka kisifuatilie mambo ya wazito.

Bofya na endelea>>>>>

No comments: