Sunday, June 29, 2008



Miss Ilala Sylvia Mashuda (katikati) akipunga mkono kwa furaha baada ya kufanikiwa kutwaa taji la Miss Ilala katika mpambano mkali uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa City Garden uliopo Gerezani jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa pili, Nelly Kamwelu(kushoto) na mwingine ni Aneth John.
Kutoka Global Publishers (Tanzania)




No comments: