Friday, June 27, 2008



Mwonekano wa Karibu wa Picha Mpya ya Rais Jakaya Kikwete kuanzia leo. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Kassim Mpenda alisema alisema makatibu wakuu na maofisa wengine wote wa Ofisi za Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, wakala na asasi nyingine za serikali wameshauriwa kuanza kutumia picha mpya. Alisema kila nakala yenye picha hiyo yenye vipimo vya sentimita 18x22, itauzwa kwa bei ya Sh 15,000 na zinapatikana Ukumbi wa Habari Maelezo jijini
Dar es Salaam.



No comments: