KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA KWA UNYENYEKEVU KUTAMBULISHA KWENU WADAU WOTE LIBENEKE JIPYA KABISA KATIKA ANGA HIZI. LIBENEKE HILI NI LA VIDEO LINALOENDA KWA JINA LA
www.bongotyube.com
LENGO LIKIWA NI LILE LILE LA KUWAPA FURSA WADAU KUTUMA VIDEO ZAO ILI ZIONEKANE NA KILA MDAU ULIMWENGUNI. NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWA USHIRIKIANO HUKU NIKIOMBA MAONI NA USHAIRI WA KUBORESHA HUDUMA HIZI.
WENU KATIKA KUENDELEZA MAWASILIANO YA
TEKNOLOJIA YA KISASA.
MUHIDIN ISSA MICHUZI
MUHIDIN ISSA MICHUZI
No comments:
Post a Comment