Mheshimiwa Balozi Ngemera. Balozi wa Tanzania Ujerumani alikuwa mgeni rasmi kwenye shindano la Miss Tanzania Europe 2008. Hapa akifungua shindano. Lilifanyika wikiendi ya juzi.
Mrembo Lucy Fundikira ambae amenyakua ushindi wa Miss Tanzania 2008 katika nchi za Schengen usiku wa kuamkia jumapili katika mji wa Essen nchini Ujerumani, Lucy mwenye umri wa miaka 18 ambaye anaishi Holland katika mji wa Rotterdam na wazazi wake alishangiliwa kwa vifijo na vigele vigele na umati wa watu uliohudhuria mashindano hayo
warembo wengine. Nafasi ya kwanza ilichukuliwa na Sabrina Bashir, ya pili Jacquline Sabanya
Pichani ni Mrembo lucy Fundikira ambae amenyakua taji la Miss Tanzania Eu 2008 akikatiza jukwaani
Pichani ni Mrembo lucy Fundikira ambae amenyakua ushindi wa Miss Tanzania Eu 2008 katika nchi za Schengen usiku wa kuamkia jumapili katika mji wa Essen nchini Ujerumani,Lucy mwenye umri wa miaka 18 ambaye anaishi Holland katika mji wa Rotterdam na wazazi wake alishangiliwa kwa vifijo na vigele vigele na umati wa watu waliohudhuria mashindano hayo warembo wengine.Nafasi ya kwanza ilichukuliwa na Sabrina Bashir,ya pili Jacquline Sabanya.

Picha zote na Hassan Selemani Nganzo, Oslo.
No comments:
Post a Comment