
Na Christopher Lissa
Mama mzazi wa mwanamuziki, Khaleed Mohamed ‘Top In Dar-TID’ Alhamisi ya wiki hii, alishindwa kuzungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kutokana na kile kilichodaiwa na ndugu zake kuwa yu taabani kufuatia kifungo cha mwaka mmoja jela alichohukumiwa mwanae...
1 comment:
Pole mama TID. Mama wa watu ana majonzi kwa kufikiria jinsi mtoto wake watakavyomfanya huko Segerea. Labda usiku wa kuamkia leo jamaa wameshamvunja bikira kama wanavyosema wenyewe huko jela!!!!
Post a Comment