Sunday, November 02, 2008

Malkia Margrethe II

wa Denmark na

mumewe Prince Henrik,

ziarani Tanzania

JK na Mama Salma Kikwete wakimkaribisha Malkia Margerthe II wa Denmark wakati alipowasili ikulu jijini Dar jana jioni.

JK na Mama Salma Kikwete wakiwatambulisha watoto wao Rashid Kikwete Chodo(anayempa mkono Malkia) na Khalfan Kikwete muda mfupi Baada ya Malkia huyo Margerthe II wa Denmark na mumewe Prince Henrik kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.

JK na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Malkia Margrethe II wa Denmark na mumewe Prince Henrik pmaoja na watoto wa Rais Rashid kikwete Chodo (kushoto) na Khallfan Kikwete( kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni kwa ziara ya siku nne nchini Tanzania.

kwa hisani ya



No comments: