Monday, November 10, 2008


Miriam Makeba

Hatunaye Tena





Amefariki leo akiwa nchini Italia. Ni kutokana na maradhi ya moyo. Nyimbo zake zimetukuza, zimetutia hamasa. Atakumbukwa, leo, kesho na keshokutwa!

Pata Pata



Amampondo




Kilimanjaro





Hapo zamani





Mbube





Rising Sun



QONGQOTHWANE (The Click song)





Oxgam {Studio Version}






Soweto Blues




8 comments:

Anonymous said...

Rest In Peace Mariam Makeba (Mama Africa) Mwenyzi Mungu Akulaze Pema

Anonymous said...

Thank you, Mama Afrika! You have shown us the way!

Anonymous said...

The Golden Voice of Africa has an extensive back catalogue of great songs. Each one telling its own story even if the words cannot be understood.
An Apotheosis of sound that penetrates your inner ear and transports you into a world of untouched meadows bathed in the soft glow of the setting sun.

Anonymous said...

Beauty. Mama ulale ngoxolo. Thank you from the bottom of all our hearts. We love you for having loved us with your own life. A true mother, giving a voice to your children, giving so much of yourself- your own life.

Anonymous said...

grazie Mama Africa, grazie Miriam, grazie per tutto grazie di esistere ancora e sempre nei nostri cuori!

Anonymous said...

Miriam Makeba, una de las mas grandes artistas, siempre presente en las luchas por los derechos humanos. Murió como vivió, haciendo de su arte un compromiso.

Anonymous said...

Mama Africa, Miriam Makeba...nikisikiliza "Pata Pata", "Kilimanjaro", "Hapo zamani" na nyinginezo, unanikumbusha mbali sanaaaa......Mwenyezi Mungu Akweke Pema..Amin!

Anonymous said...

Buriani Miriam. Mara ya mwisho kukuona kwenye Mela festival mjini Oslo, Agosti 2008. Umetutangulia. Tutaonana Mwenyzi Mungu akipenda.

Siri ya kifo:

Hatujui lini, saa ngapi, wapi na kivipi kitatutokea.

Mwenyezi Mungu Akulaze Pema!