Leo ni siku ya mapumziko hapa Norway.
Siku ya kukumbuka kupaa kwa Bwana
Yesu mbinguni. Kwa sababu imeangukia
siku ya Alhamisi, kesho pia ni siku ya
mapumziko. Wanafunzi wengi kuanzia
shule za msingi hadi vyuo wako
mapumzikoni kesho.
Post a Comment
No comments:
Post a Comment