umekosa neno moja tu…
Na Johansen Kempanju
“MWANADAMU aliye uchi ni kiumbe mnyonge kuliko wanyama wote. Hana ngozi wala manyoya ya kumsitiri na nguvu za mazingira. Hana nguvu za simba wala mbio za swala, hana makucha ya chui pembe za fahali au mbawa za tai. Licha ya unyonge huu, mwanadamu ni kiumbe pekee mwenye uwezo wa kubadili mazingira yake. Nyenzo pekee inayomwezesha kufanikiwa ni lugha.”………..
No comments:
Post a Comment