Thursday, May 21, 2009

Na Haruni Sanchawa

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Nyambi Aeshi (25), mkazi wa Ukonga jijini Dar es Salaam, ameuawa kwa kupigwa risasi alipokuwa akimuokoa dada yake aitwae Mwantumu Aeshi aliyekuwa akichezea kichapo kutoka kwa jamaa mmoja aliyetajwa kwa jina la Salum Shabani a.k.a Jibaba baada ya kumfuma akiwa na mwanaume mwingine...bofya na endelea>>>>>

No comments: