Saturday, July 25, 2009

Safu



Tuachiwe vimini eh!



HEBU leo nikukumbusheni ya zama. Mungu mkubwa. Ni kauli ya kila mtu, baada ya kuwa amefanikiwa kitu fulani. Lakini anapokuwa amefulia, atamlaumu Mungu na kusema sijui nimemkosea nini Mungu! Lakini yote hayo mwisho wake ni Mungu ni mkubwa, kwani anategemewa kwa mema na mabaya pia.

Ndiyo sababu wapo wanaosema Mungu ni muweza wa yote, au Mungu ni mpaji wa yote. Sawa kabisa, kwani ndiye aliyetuumba kwa mfano wake, ingawa wengine husema tuliumbwa kwa mfano wa sokwe! Sasa tuamini kipi? Kwa mfano wa Mungu au kwa mfano wa sokwe? Tehe tehe nani atakubali kuwa sokwe? Mimi moja kwa moja nitasema ni kwa mfano wa Mungu.....bofya na endelea>>>>>


No comments: