Friday, August 07, 2009

Anna Kilango Malecela:

Udini na ukabila Bungeni



Ndg. Mbunge Bi. Anna Kilango Malecela


Imeandikwa na Maulid Ahmed; Tarehe: 6th August 2009

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amesema, kuna udini na ukabila katika Bunge la Tanzania. Kilango amesema kuwa, wabunge wameanza kuonyesha wazi kuwa wanataka kuwachagua viongozi kwa kuzingatia dini na makabila yao. Mumewe, Mbunge wa Mtera, John Malecela ametahadharisha kwamba, upo uwezekano wa kutokea machafuko nchini kwa kuwa kuna watu wachache wanaohodhi mali nyingi.....bofya na endelea>>>


No comments: