Vigogo wakisema ni saa saba mchana,
kila mtu anaangalia saa kuona kama
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
Waniuaua kipenzi waniuaua. Bila wewe kuwa nami ninasuasua.
Habari za huko mpenzi wangu wa moyo? Kweli nasuasua lakini siku zinapita. Vipi mpango wako wa biashara? Ulikuja kufanikiwa au madai ya kuhongwa yalizidi? Watu Bwana hawatosheki. Wanaishi maisha mazuri lakini bado wanataka kuwakanyagakanyaga watu wenye maisha mabaya ili wazidi kuneemeka hadi wanakufa na magonjwa ya utajiri....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment