Namba za siri za wateja 3500
zakopiwa, waibiwa hela kibao!
Polisi mjini Oslo wanamshikilia mtu mmoja (25) mwenye asili ya Pakistan kwa wizi wa namba za siri za wateja 3500 zilizoibiwa kwenye duka moja la chakula, Joker; lililoko kwenye mtaa wa Geitmyrsveien, maeneo ya St. Hanshaugen. Mpakistani huyo alikamatwa na polisi kwenye uwanja wa ndege wa Gardemoen Oslo akiwa na lundo la Kroner akiwa njiani kuelekea Pakistan.
Mkuu wa kituo cha polisi cha kati mjini Oslo, inspekta Bjoern-Aage Hanssen amethibitisha kuwa huyo jamaa anahusika na wizi wa namba za siri za wateja 3500 uliotokea kwenye duka la Joker na wateja hao kuibiwa hela kutoka kwenye akaunti zao.
Bofya na soma kuhusu "Skimming"
* Atapeliwa kroner 30 000 mwenyewe akiwa Oslo.
* Mwizi mkubwa mtandaoni hajawahi kutokea.
* Tahadhari wizi wa namba za siri.
No comments:
Post a Comment