Leo asubuhi halibaridi -23oC
Halibaridi inaendelea hapa Norway. Kuna baridi kali! Baridi ni kali kiasi ambacho mtu ukitembea unaisikia inaingia mapafuni. Halibaridi imesababisha kuwe na matatizo ya usafiri haswa wa treni.
Picha hii imechukuliwa saa 2 asubuhi
Picha hii imechukuliwa saa 4 asubuhi
Picha hii imechukuliwa saa 4 asubuhi
No comments:
Post a Comment