Friday, April 16, 2010

Waweza kunawa mikono lakini roho utanawa wapi?



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,
Nataka nirudi nyumbani
Nikupe stori fulani
Tukiwa pamoja mezani ... nipigie
Ooh nipigie
Ooh nisafishe


Nimekukumbuka sana mpenzi wangu.  Najua wewe ni Foma Gold yangu, utaondoa uchafu wote unaonizingira hapa na kunitundika nje kukauka nikiwa nameremeta upya hadi majirani wote watakuonea gele.  Nasikia wengine wanasema siasa ni mchezo mchafu, mbona hakuna kadi nyekundu inatolewa hata siku moja?  Na sote tunaokaa karibu na hawa wachezaji wachafu tunaathirika na uchafu huu, hata wadogodogo kama akina Hidaya, twanuka bila kupenda...


No comments: