Monday, February 03, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akagua jengo litakalokaliwa na wabunge wa Katiba, mjini Dodoma


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
 
Hapa Rais akitoa naye maoni yake kuhusiana na hali ya maandalizi inavyoendelea, akiwa na  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Anne Makinda
 
 
 


No comments: