Sunday, September 09, 2007

Kusomewa barua, barua pepe na kusikilizwa simu yako na kufuatiliwa nyendo zako kwenye mtandaoni ni ukiukwaji wa haki za binadamu


Uamuzi huo umefikiwa na mahakama kuu ya haki za binadamu ya Ulaya, iliyoko The Hague, Uholanzi.

Mwanadada mmoja anayefanya kazi kwenye Chuo Cha College, Wales alifuatiliwa na mwajiri wake kwa kusomewa barua pepe zake, simu yake, na nyendo zake kwenye mtandao.


Soma uamuzi huo wa mahakama kuu ya haki za binadamu:

http://www.bailii.org/eu/cases/ECHR/2007/253.html


No comments: