



kitita cha milioni 5 kesh. Nyuma yake wanafuata
Richa na anayebeba shela ni Lilian Abel.

Washindi wa tatu bora wa kwanza walibahatika kupata picha na Simba wa vita Mzee Rashidi Mfaume Kawawa na mkewe. Shoto ni mshindi wa pili Queen David, Miss TZ 2007 Richa Adhia na mshindi wa tatu Lilian Abel. Ikumbukwe Richa na Lilian walitokea Miss Kinondoni ambako nako walishika nafasi hizo hizo. Queen ni malkia wa Temeke.

Jumamosi, Septemba Mosi, 2007

katika Miss TZ 2007 pamoja na
Miss TZ 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe a.k.a K-Lynn
RICHA ADHIA NDIYE MISS TANZANIA 2007 BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA USIKU HUU KWENYE FAINALI ZA VODACOM MISS TZ PALE LIDAZ KLABU. MSHINDI WA PILI NI LILIAN ABEL AMBAYE KAMA RICHA KATOKEA WILAYA YA KINONDONI. WA TATU NI QUEEN DAVID AMBAYE NI MISS TEMEKE. TAJI LA BALOZI WA REDDDS AMBASSADOR LIMENYAKULIWA NA VICTORIA MARTIN AMBAYE NI MISS TANGA NA MISS KANDA KASKAZINI. HII NIMARA YA KWANZA TOKA MISS TZ IFUFUKE MWAKA 1994 KWA MBONGOMWENYE ASILI YA KIASIA KUNYAKUA TAJI HILO.
Picha na habari kutoka: http://issamichuzi.blogspot.com/
Risha interview after she won Miss Kinondoni:
http://bongocelebrity.com/2007/07/12/i-am-proudly-
tanzanian-miss-kinondoni-07/#more-73
No comments:
Post a Comment