Wednesday, October 31, 2007



From: Kamala Kajungu eyakamala@yahoo.co.uk
To: Tanzanet list@tanzanet.org
Sent: Wednesday, 31 October, 2007 9:53:26 AM
Subject: [tanzanet] WAAJIRIWA WA BOT!!!!?????



Na tuhuma zote za ufisadi zinazoikabili BOT, Je unawajua walioajiriwa kusimamia uchumi wa nchi yetu na kutuletea mafanikio? Pokea taarifa ya wateule hawa. Ndani ya Mtungi wa BOT walioqualify kuajiriwa kwa sifa na vigezo vinavyotambulika na BOT ni pamoja na hawa wafuatao:-


Pamella Lowassa,
Filbert Frederick Sumaye,
Zalia Kawawa,
Harieth Lumbanga,
Salama Ally Mwinyi,
Rachael Muganda,
Sylvia Omari Mahita,
Justina James Mungai,
Kenneth John Nchimbi,
Blassia Blassius William Mkapa,
Violeth Phillemon Luhanjo,
Liku Irene Katte Kamba,
Thomas Mongella,
Jabir Abdallah Kigoda etc.


Hii ndio success team, hapa nani atamuwajibisha Dalali alas Balali?

Je KAPUKU MWENDE(a.k.a KAYUMBA) ATAAJIRIWA KWELI HAPO?

Hawa ni wale wenye uhusiano wa moja kwa moja na wazito wa nchi, wapo wengine ambao ni ndugu wa karibu au kabila moja na waheshimiwa. Ni vigumu kuamini kuwa hii ni bahati mbaya(mere coincidence).

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa

Grayson Donald Mwakasege,
Commercial Dpt,
Mbeya Cement Company-Songwe,
P.Box 529.
G-Line +255 25 2500134
Extension 268 or 134,
Mobile 0784 950098 / 0755 950098,
Fax +255 25 2500144



"The ultimate measure of a man is not where he stands in the moments of comfort and convenience but where he stands at the times of challenges and Controversy"

4 comments:

Anonymous said...

Jamani tutafika kweli !!!! hebu ipelekeni hii habari kwenye Magazeti ..... nakubiliana na hayo majina yote wanafanya kazi hapo, NGOJA na mimi niongeze mwingine ambae kwa sasa anasoma marekani

MARTIN WARIOBA

Anonymous said...

Leave him alone!

Anonymous said...

I agree. Leave him alone. Au leta CV yako, tufanye comparison na ya kwake tuone nani anayestahili kuwa pale.

Anonymous said...

Hata mimi na support leave martin warioba alone... his got da qualifications actually BOT wana regrate 4 loosin such a young and tallented person. wewe kama una chuki binafsi nae go 2 hell coz everyone knows about Martin's successes...