


Inawataarifu kuwa noti za
Kroner 50 zenye picha ya
Aasmund Olavsson Vinje,
zilizotengenezwa kati
ya mwaka 1984 na 1996,
mwisho wa kutumika ni
tarehe 28 Januari 2008.
Watu wanashauriwa kuzibadili
kabla ya hiyo tarehe.
Kwa maelezo zaidi piga simu
Benki Kuu Norway
+47 22 31 60 00
No comments:
Post a Comment