Sunday, January 06, 2008

Rais Kikwete anaponzwa na wasaidizi wake


MWANASESERE ni sanamu inayotumiwa na watoto kwa kuchezea. Kwa mtoto mwanasesere anawakilisha kitu halisi. Katika uhalisia mwanasesere ni hali kwa uanasesere wake lakini kwa kweli si kile hasa anachokiwakilisha.

Kwa mfano, mwanaserere mwenye umbo la simba, atabakia kuwa mwanasesere na si simba halisi.Nimeanza makala yangu na mfano huu nikiamini kuwa utasaidia kufikisha ujumbe wangu kwa watu wa marika yote.

Nitazungumzia tabia isiyopendeza inayoanza kuota mizizi kwa baadhi ya watendaji wa serikali na wasaidizi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Kwamengi zaidi juu ya Makala hii iliyoletwa hapa na Mwandishi Happiness Katabazi
Tembelea www.katabazihappy.blogspot.com



No comments: