Bomu hili au?
From: pude temba
To: TAMWANITES
Sent: Tuesday, 12 February, 2008 5:19:11 PM
Subject: [mediawomen] Fwd: FW: GET TO KNOW YOUR COUNTRY...
MIZENGWE MINGINE YA KUUZA NCHI YAFICHULIWA
Wadau,
Pata ufisadi mwingine wa TISCAN na TRA hapo chini. Abbreviations za BWM na EL, hope wote mnazielewa.
Hiyo ndiyo "Nchi ya Changa
Hili
http://www.thestatesmanonline.com/pa...=1&newsid=4509
na Senegal , pamoja na hongo za kumhonga Kofi Anan kwa kupitia kijana wake - Iraq 's Food-Oil program.
TISCAN ni jina bandia linatumika na COTECNA kuficha madhambi yake, na representative wao
Hili
http://www.thestatesmanonline.com/pa...=1&newsid=4509
na Senegal , pamoja na hongo za kumhonga Kofi Anan kwa kupitia kijana wake - Iraq 's Food-Oil program. TISCAN ni jina bandia linatumika na COTECNA kuficha madhambi yake, na representative wao
The Commissioner General of TRA wakati huo marehemu Sanare, baada ya kuelezwa madhambi ya COTECNA akaweka ngumu na kusema hawa Cotecna hawapati hiyo contract. Masikini kumbe Sanare kajichongea, kwa vile wahenga wasema "penye fedheha penyeza rupia".
Kumbe zengwe likawa linapikwa Sanare aondolewe TRA, kwa vile yeye ndiye analeta kauzibe, wakati list yote ya wazito pale Mapato House na Matumizi House wameshalainishwa!Basi Sanare ikabidi ahamishiwe PM's office. Sasa kabla ya Sanare kuondoka akambiwa pesa hizi hapa mzee, weka mkono mambo yaende mbele.Wewe unaondoka, mkataba utasainiwa na pesa utazikosa. Sasa amua kusuka au kunyoa! The last contract Sanare signed before he left the office was Cotecnas contract pamoja na
Issue ya TScan siyo siri wala lolote, data zote zipo na zinajulikana, zengwe lililochezwa hata usalama wa taifa wanalijua na walimweleza BWM
Lingine linaloudhi ni hili, TIScan are supposed to do Destination Inspection na hii ndiyo ilikuwa kigezo cha kuanzisha hiyo scanning. This was supposed to replace Pre-Shipment Inspection. Hadi leo hii vyote vinafanywa na kampuni hiyo hiyo, TISCAN + COTECNA. Wewe leo unatumia pesa zako ulizozihenyea huku nje, na ukatuma mzigo wa vitabu ambao haulipiwi kodi lakini bado utalipishwa 1.2% ambayo TScan wanapewa 0.8% kwa nini.
Did you know that TISCan collects 0.8% of the value of all imports to
Amakweli nchi imeuzwa! Tunayasikitikia ya BOT, TRA ni balaa!
No comments:
Post a Comment