Wednesday, February 27, 2008

”Osama Bin London”


Mwingereza mwenye asili ya Tanzania,
Mohammed Hamid "Osama bin London"


Mwingereza mwenye asili ya Tanzania (pichani hapo juu) leo amekutwa na makosa ya kutaka kufanya vitendo vya kigaidi mjini London. "Osama bin London" kama anavyojiita mwenyewe, alihamia Uingereza akiwa mdogo kwenye miaka ya 60. Alipokamatwa na polisi kwenye mtaa wa Oxford, aliwaambia polisi kuwa anaitwa "Osama bin London" Kwa habari zaidi bofya hivyo viungo hapo chini:

Mohammed Hamid 'is evil personified'

Profiles: Mohammed Hamid and his followers

Daily Life on Mohammed Hamid

Top terror recruiter found guilty

Islamist preacher Mohammed Hamid found guilty..

Street Preacher Guilty Over Terror Camps



No comments: