

Leo usiku wa manane saa 8
kuamkia Jumapili 30 Machi 2008
majira ya Kiangazi yanaanza
Ulaya ya Magharibi
(Central European Time = CET).
Hivyo basi sogezeni saa moja mbele.
Saa 8 za usiku sogeza saa na
kuwa saa 9 za usiku kuamkia
Jumapili 30 Machi 2008.
Kuanzia Jumapili 30 Machi 2008
kutakuwa na tofauti ya
saa moja na saa za Afrika Mashariki
(East African Time = EAT)
1 comment:
Asante sana bwana Semboja kwa kutukumbusha. Kazi nzuri.
Post a Comment