Thursday, March 20, 2008


MKUTANO MKUU WA

WANAFUNZI

WAKITANZANIA OSLO

(TASAO)

Kutakuwa na mkutano mkuu wa wanachama

wote na wanafunzi wapya.

Mahali: Norges Idrettshøgskole - Sognsvann

(Norwegian School of Sport Sciences)

Tarehe: 29.03.2008

Muda: Saa 7:30 mchana - 11:00 jioni

Agenda:

1. Taarifa ya mwaka ya uongozi

2. Taarifa ya mhazini

3. Marekebisho ya katiba

(tafadhali isome katiba vizuri kabla ya mkutano)

4. Viongozi wapya

5. mengineyo

Wanafunzi wote wa kitanzania wanaosoma hapa Oslo –

Norway mnakaribishwa!

Uongozi – TASAO

http://tasao.blogspot.com/



No comments: