Sunday, April 27, 2008

Yanga mabingwa:

Ligi Kuu Vodacom



Yanga na Simba wametoka sare na Yanga wamechukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom. Pichani nahodha wa Yanga, Freddy Mbuna akikabidhiwa kombe la ubingwa na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja.



No comments: