Mohamed Raza :
Waliotaka kujitenga
Pemba si wahaini
Na Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kuwaachia kwa dhamana wazee saba wanatuhumiwa kuchochea kisiwa cha Pemba kujitenga, aliyekuwa Mshauri wa Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour, Bw. Mohamed Raza ameibuka na kupinga watu hao kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
Akizungumza na gazeti hili jana Dar es Salaam, Bw. Raza aliupongeza uongozi wa Jeshi la Polisi nchini kuwapa dhamana wananchi hao na kubainisha kwamba hatua ya wananchi hao kuhusishwa na uhaini, haikuwa sahihi. Bofya hapa na endelea...
No comments:
Post a Comment