Saturday, August 16, 2008

Brazil yaingia nusu

fainali baada ya

kuifunga Kameruni

2 – 0

Dakika za nyongeza



Ronaldhino akijaribu kukumbukia enzi zake,
hapa akijaribu kuwatoka wachezaji wa Kameruni


Daning (Kameruni) akikabiliana na Anderson (Brazil)


Diego (Brazil) akijaribu kumtoka mchezaji wa Kameruni



Wachezaji wa Naijeria, Efe Ambrose (nam.15), Chinedu Ogbuke Obasi
(nam. 7) na Victor Obinna (nam. 9) wakishangilia goli dhidi ya Ivory Coast.


Peter Odemwingie (nam. 14) wa Naijeria akimtoka
Brou Angoua (nam. 5) wa Kameruni.



Katika mechi zingine za robo fainali,

Naijeria 2 - Ivory Coast 0

Argentina 2 - Uholanzi 1

Ubelgiji 3 - Italia 2


Nusu fainali:

Brazil vs. Argentina

Naijeria vs. Ubelgiji




No comments: