Saturday, August 16, 2008

Usain Bolt

ashinda dhahabu

na avunja

rekodi ya mita 100

sekunde 9.69




Usain Bolt akishangilia ushindi wake


Bolt baada ya kuvunja rekodi ya dunia ya mita 100


Walter Dix (Marekani mshindi wa medali ya shaba, kushoto)
Richard Thompson (Kanada mshindi wa medali ya fedha, katikati)
Usain Bolt (Jamaika, mshindi wa dhahabu, kulia)


Asafa Powell na Michael Frate (Wajamaika) wakiangalia
matokeo ya fainali mita 100




No comments: