Mumeo ana
mwanamke nje,
utajuaje?

SIKU zinavyozidi kusonga mbele shosti hapa napo mambo ndiyo yanazidi kupamba moto. Jitahidi usikose nakala yako ya starehe kila Jumamosi. Nadhani utakuwa umeshtukia hata muonekana wa jarida lenyewe.
Wiki hii shoga yenu nakuja na mpya kama nilivyoahidi wiki iliyopita: "Namna ya kumkamata mwizi wa lako penzi." Nipe habari yako kwanza. Kisha kaa chini kitini, Egamia, tulia, kwani ifuatayo shosti ni safari ndefu ya wewe kujua kuwa huenda ukawa uko right, kuna mwizi anakuibia mumeo.
Tukianza hatua kwa hatua, cha kwanza ni kujua kuwa mumeo ameanza huo mchezo, Labda ni ngumu kwako kuthibitisha lakini moyo wako haukupi. Kuna kitu kinakwambia mumeo ana uhusiano nje...
1 comment:
Makala nzuri sanaaa kwetu sisi Wabeijing....
Post a Comment