Kwa nini tuwavumilie
wanaopotosha
katiba kuhusu

MJADALA kuhusu Zanzibar ni nchi au la, ulioibuliwa hivi karibuni bungeni na kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, unazidi kuchukua sura mpya kila kukicha. Pamoja na mambo mengine, mjadala huo umekuwa ukiibua masuala mapya ya kuchukiza, ya kushangaza na ya kuchekesha kila siku.
Sasa Ikulu imeshasema kuwa Zanzibar ilishafariki dunia Aprili 26, 1964, sidhani kama kuna mtu ataendelea kubisha kuwa Zanzibar si nchi. Mjadala umeendelea kana kwamba watu hawaijui katiba. Inashangaza kuwa hao hao walioapa kuilinda hiyo katiba, ndio wanaotoa kauli zinazoonyesha kupingana na katiba hiyo hiyo.
No comments:
Post a Comment